Jeremiah 46:9


9 aSongeni mbele, enyi farasi!
Endesheni kwa ukali, enyi magari ya farasi,
Endeleeni mbele, enyi mashujaa:
watu wa Kushi
Kushi ni Naili ya Juu; sasa ni Sudan.
na Putu
Putu sasa ni Libya.
wachukuao ngao,
watu wa Ludi
Nchi iliyo Afrika ya Kaskazini, magharibi ya Mto Naili; sasa ni Libya.
wavutao upinde.
Copyright information for SwhKC